ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Yaan wewe na story zako za daku vituko tupu hahahaHahah! Gwajima tusubiri kesho tuone ni kipaji kweli au uzushi
Me niliamka muda wa daku umekaribia kuisha sasa kutoka chumbani mpaka jikoni nahisi nilitumia nusu sekunde......
Man city,barca,daku marathonBro ni timu gani maana sikuelewi elewi?
Japo sifia utumbo au usiite ndizi sema chakula kitamuHata za bukoba za kachanganya na utumbo na kachumbari
Wote hawa wanmakosa!
Sindio ule muda wa kula ulipokua unaelekea ukingoni😁 Ilikuwaje?
Hahah eti daku marathonMan city,barca,daku marathon