Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

metgala.outfits-20190511-0008.jpeg
 
Wapi tena mzee wa pwani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Hongera kwa mwezi mtukufu[emoji120][emoji120]
Sala zenu zikawe zetu sote
Ujue nimecheka sana, maana hiyo salam màarufu ile mitaa yetu pendwa enzi zilee.
Huku kwema na twashukuru kuweza kudiriki mwezi mtukufu, Tunamuomba Manani atujaalie kheri zote zipatikanazo ndani ya makumi matatu ya mwezi huu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mitaa yenu pendwa eeehhh [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom