Eti eehe ?!!!Jibu zuri sana, kuna fursa hapo Bro.
Yashinde majaribu ankooNipo napambana kweli kweli ankoo,swaumu hii iko na majarbu mengi sana,mara gwajiboy,hamjakaa sawa mambo ya harris,,tabu tupu ankoo
Sawa ankoo,ntayashinda majarbu yote[emoji120][emoji120]Yashinde majaribu ankoo
That's my ankoo[emoji2][emoji2][emoji123][emoji123]Eti eehe ?!!!
Nimefadhaika kizembe sana, kumbe nilitakiwa kukaza!
Kesho nairudia tena hiyo salaam dadadadekiii
Ujue nimecheka sana, maana hiyo salam màarufu ile mitaa yetu pendwa enzi zilee.Wapi tena mzee wa pwani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hongera kwa mwezi mtukufu[emoji120][emoji120]
Sala zenu zikawe zetu sote
Ha hahEti eehe ?!!!
Nimefadhaika kizembe sana, kumbe nilitakiwa kukaza!
Kesho nairudia tena hiyo salaam dadadadekiii
Mitaa yenu pendwa eeehhh [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ujue nimecheka sana, maana hiyo salam màarufu ile mitaa yetu pendwa enzi zilee.
Huku kwema na twashukuru kuweza kudiriki mwezi mtukufu, Tunamuomba Manani atujaalie kheri zote zipatikanazo ndani ya makumi matatu ya mwezi huu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mitaa yetu pendwa tukipozea na Hashua za mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mitaa yenu pendwa eeehhh [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ankooThat's my ankoo[emoji2][emoji2][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana bro,sikijui,,ila hiyo mitaa naijua vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mitaa yetu pendwa tukipozea na Hashua za mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unakijua chakula hicho bro