Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mzee unanichekesha sana aisee,ile hijabu sio mali yangu bro,ina wenyewe ile[emoji2][emoji2],,bro kumbe ulikuwa unaslide kimya kimya ha ha ha
Bro mwenyewe unayumba tu maana hao wenyewe unaosema wenye mali sio yao tena, mpaka muda ule unadekezwa kama Mbosso mali ilikua haina mwenyewe ile πŸ˜€πŸ˜€

Huwa tupo pamoja
 
Bro mwenyewe unayumba tu maana hao wenyewe unaosema wenye mali sio yao tena, mpaka muda ule unadekezwa kama Mbosso mali ilikua haina mwenyewe ile [emoji3][emoji3]

Huwa tupo pamoja
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aisee kumbe ndio ilikuwa vile,bhasi nilijua mali ya mtu,sijachelewa pia,ntafukua makaburi tena mzee [emoji2][emoji2][emoji2]

Et nadekezwa kama Mbosso ha ha ha
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aisee kumbe ndio ilikuwa vile,bhasi nilijua mali ya mtu,sijachelewa pia,ntafukua makaburi tena mzee [emoji2][emoji2][emoji2]

Et nadekezwa kama Mbosso ha ha ha
Eeh! Ulikua ukiingia kule kama umeingia Tanga mzee mwenzangu ata nyumbani hukumbuki. Hahah

Fanya kweli sasa bado hujachelewa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…