Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mateja Kezman (Chelsea)

Chelsea walimnasa Mateja Kezman kipindi hicho alipokuwa kwenye ubora wake huko PSV na alifunga mabao 129 katika mechi 176. Lakini, nyakati zake Stamford Bridge zilikwenda kuwa ngumu ndani ya uwanja licha ya kwamba hakuondoka hapo mikono mitupu. Kezman alifunga mabao manne tu katika mechi 25, lakini aliachana na Chelsea akiwa amebeba ubingwa wa Ligi Kuu England kabla ya kuondoshwa kikosini, akitimka zake Atletico Madrid.
 
Hapana Mkuu mie na Gwajima wapi na wapi? Tapeli tu huyo aliyewakusanya wapumbavu sasa wanamtajirisha kila uchao. Wajinga ndiyo waliwao.

nimekaa na mdogo wangu wa kike bahati nzuri ana miaka 4, alhamdulillah hajaona chochote kifikra japokuwa kwa macho ameona.
huyu ndio BAK ninayemfahamu, nashangaa siku nyengine anapost habari za kutangaza neno la gwajima
 
Juan Cuadrado (Chelsea)

Mchezaji mwingine wa Chelsea aliyekuwa na bahati ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England, wakati wengine kama Liverpool wanasoka kwa miaka kibao bila ya kuonja utamu wa kubeba taji hilo ni Juan Cuadrado.
 
Jeremie Aliadiere (Arsenal)

Jeremie Aliadiere alikuwa kwenye kiksoi cha Arsenal kwa miaka sita, lakini muda mwingi alikuwa kwenye benchi tu. Straika huyo alifunga bao moja tu katika mechi 29 alizochezea Arsenal ile iliyokuwa chini ya Arsene Wenger.
Alikuwa fundi sana uyo bwana mdogo kutoka ufaransa lakini alikwenda arsenal nyakati mbaya.
uwepo wa robert pires, wiltord na wengineo nimeshawasahau walichangia kupotea kwa dogo mpaka akakimbilia middlesborough kama nipo sahihi.
dah muda umeshapita sana cha ajabu bado nimebaki kuwa MONK
 
Staa huyo wa Colombia, alinaswa na Chelsea kwa ada ya Pauni 24 milioni akitokea Fiorentina mwaka 2014. Cuadrado hakuwa na wakati mzuri Chelsea, akicheza mechi 12 tu katika msimu wake wa kwanza, lakini alibeba ubingwa wa Ligi Kuu.
 
54800401_2411265958929667_6713828592299924875_n.jpg
 
Back
Top Bottom