Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Image may contain: 1 person, standing
 
unaweza kukuta huyo kuku amejaa dawa za mganga, kuna siku nilichukuliwa ugangani kabla ya mechi niliyoyashuhudia ilikuwa ni kimbembe.
hongera kwao waganga wote.
sielewi kwa nini ile kazi haitoi mabilionea wakati ndio watibuji wakuu wa matajiri
Nadhani ni masharti mazito ya huo utajiri yanakimbiza wengi kuwa mamilionea
 
UKWELI ndio huo, Big Six ya Ligi Kuu England ndio habari ya mjini kwa sasa. Unajua kwa nini, vigogo vinne katika orodha hiyo ya vigogo sita wa England, vimetinga fainali zote za Ulaya msimu huu, Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa League. Hii ni historia.
 
Nadhani ni masharti mazito ya huo utajiri yanakimbiza wengi kuwa mamilionea
kuna mganga mmoja ana uwezo wa kutatua tatizo la wavuvi kushindwa kuvua samaki wengi, nimebaki najiuliza kama kuvua ni rahisi si atafute mtumbwi au kidau akavue.
anadhani wakojani ni wazembe wanaposhindwa kupata samaki
 
Liverpool imetinga hatua hiyo ikiisukuma nje kibabe Barcelona, wakati Spurs nayo ilifanya hivyo hivyo kwa Ajax, huku Arsenal ikipita kirahisi mbele ya Valencia, wakati Chelsea ilihitaji ushindi wa penalti mbele ya Eintracht Frankfurt, mambo ni moto. Bato la Waingereza tupu kwenye fainali za Ulaya msimu huu.
 
Back
Top Bottom