HahahaSafari ya dukani hiyo... Ole wako idondoke shi tano (gome) utajutaa... View attachment 1094416
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mtoto hashindwi kitu, kila kumbukizi za wakubwa nae yumo. Isije nae kapita kwa Neema bonge
Hizi barabara kweli zipo au wataalamu wamezigwajima tu?Barabara iliyojaa shida na mashakaView attachment 1094618
Kwanini
Nitafsirie Capitalpool..
Wacha weee[emoji7][emoji7]
pumbavu, watachomwa kwa moto wa gesi
View attachment 1094624
Mi nilidhani nawe ni Nshomile.Aha! Nitajua kishomile mwaka huu
alikuwa na mdomo sana nyakati za kampeni huyo mzee makamba.Dongo zito hili kwa dikteta wa magogoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ankoo haukuniambia kuwa na wewe ni wa nyumbani ...
alikuwa na mdomo sana nyakati za kampeni huyo mzee makamba.
sijui pensheni ya chama imekatwa?