Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Enzi za utukutu[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 1094393
Safari ya dukani hiyo... Ole wako idondoke shi tano (gome) utajutaa...
tapatalk_1555326040725.jpeg
 
Ujue nimecheka sana, maana hiyo salam màarufu ile mitaa yetu pendwa enzi zilee.
Huku kwema na twashukuru kuweza kudiriki mwezi mtukufu, Tunamuomba Manani atujaalie kheri zote zipatikanazo ndani ya makumi matatu ya mwezi huu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Amin.
Allah ajaalie yenye kheri[emoji120][emoji120]
 
BURUDANI: Watengenezaji wa ‘Game of Thrones’ wapanga kukaa mbali na mji ili wasisikie maoni ya watu baada ya tamthilia hiyo kuisha - David Benioff na D.B Weiss wamenukuliwa wakisema wakati wa kuisha kwa Game of Thrones watakuwa sehemu isiyo na mtandao wakinywa na kulewa - Wamesema ni kawaida kwa watu wengi kutofurahishwa na mwisho wa michezo mingi ya televisheni hivyo wao watazima simu ili wasiwe sehemu ya watu watakao sikia malalamiko - Wanaamini mwisho wa Game of Thrones hautawafurahisha wafuatiliaji hivyo wamempa kazi mtangazaji wa tamthilia Mara Mikialian kuwapa mrejesho
60178542_319565808735408_3793321596345784069_n.jpg
 
Back
Top Bottom