Umekumbuka wapi mkuu? 😀[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mitaa ya Sokota TMK, uliishi mitaa hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana bro,sikijui,,ila hiyo mitaa naijua vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]Mitaa yetu pendwa tukipozea na Hashua za mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unakijua chakula hicho bro
Vijana hao lazima wajue hiyo mitaa sababu kuna biashara maarufu pale wanaipenda sanaMitaa ya Sokota TMK, uliishi mitaa hiyo?
Hashua ni nini hicho mkuu wa kaya?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu umekumbuka mbali saaaaana.
Hashua ni habari nyingine île mzee wa pwani
ninge ninge ninge.... Soma kijana wangu,elimu ni ufunguo wa maisha. Hayo mengine tuachieeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana bro,sikijui,,ila hiyo mitaa naijua vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]