Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Kidogo nianze kutafuta cha Knowledge is power 😀Soma ... Knowledge is Power
Kidogo nianze kutafuta cha Knowledge is power 😀Soma ... Knowledge is Power
Hahah hiyo njia ya pazia ni utotoni bro, sasa hv ukifanya hivyo unakua unajiibia mwenyewehahahahahah, bro hata mda ukipita si kuna mapazia?😀😀
Aisee mabachela wa jf buana..wote wameoaMwifwa nae kaoa jamani 😀
😁Sijui maana yake, nifundishe[emoji1787][emoji1787]
Aliwekaga sufuria la msosi anapika mwenyewe 😁😁Nimeshangaa na mie hahaha
Eeh sio magari tu siku hizi wote tuna ndoa zetu 😂Aisee mabachela wa jf buana..wote wameoa
No wanda ofisi yetu ipo vere prodactivu😉
Kipo tafuta tu 😁Kidogo nianze kutafuta cha Knowledge is power 😀
😁😁😁Eeh sio magari tu siku hizi wote tuna ndoa zetu 😂
Kwa kweli aeksipleini kwa nini dk 1 tu..Aah kumbe basi ngoja niisubirie kesho kwa hamu tuone atakachoongea
#kakideokanachoshahakanastylenyingi
😎Kuna viashiria viliniaminisha video si halisi!
Unajua vile Mungu si mjinga, prints za viganja vyake vinatokea sawa sawa.
Siwezi kuwa mbishi. Kama ni Mtumishi wa Mungu kweli wacha Mungu ajidhihirishe.
Pole kwa kavideo, nadhani ipo jukwaa husika, ukiitaka nambie.