Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1557409595223.jpeg
 
Ziyech alizaliwa Machi 19, 1993 katika mji wa Dronten, Uholanzi na sasa akiwa na kimo cha futi 5 na nchi 11, shughuli ya kiungo huyo wa ushambuliaji anapokuwa ndani ya uwanja si ya kitoto, ambapo mabeki wa timu pinzani wamekuwa wakipata shida sana kumdhibiti. Msumbufu kwelikweli.
 
Aanzia Real Dronken, Heerenveen wamnasa

Kati ya mwaka 2000 na 2007, Ziyech alikuwa kwenye kikosi cha akademia ya Real Dronken akicheza na alikuwa akiichezea pia ASV Dronken. Lakini, mwaka 2007, alikwenda kujiunga na akademia ya Heerenveen.
 
Mechi yake ya kwanza kwenye ligi ya Eredivisie ilikuwa kwenye mwezi huo huo katika mechi ya kipigo cha 2-0 dhidi ya NEC. Bao lake la kwanza Ziyech kwenye kikosi hicho alifunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya NAC Breda, Agosti 10, 2013.
 
Usiku wa juzi Alhamisi waliamua kupongezana kwa kupeana tuzo japo kwa kile walichokifanya na hapo ndipo beki wa kushoto, Luke Shaw alipochaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka huku mastaa kibao wa kikosi hicho waliamua kutoka na wachumba na wake zao kusherehea kumaliza msimu salama.
 
Back
Top Bottom