Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ulikuwa mwendo wa kufunikana tu kwa warembo wa mastaa hao wa Man United waliotinga kwenye sherehe hizo, kila mmoja akiamua kuja na mitindo yake tofauti ya nywele na mavazi. Shaw aliwabwaga Paul Pogba na Marcus Rashford kwenye tuzo hiyo ya Mchezaji Bora wa Msimu