Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hapana,nilikuwa nayo,ila wakat naiangalia nikaiona imepoa sana,sikufika mwsho,ila jamaa angu flan hv akasema ni movie nzuri sanaNdio napita nayo sasa hivi bro naona ipo njema sana ata kati haijafika, tena nilitaka nikutag kukuuliza kama umeshaicheck
Naitafutia muda tena niitizame vizuri.