Hapana,nilikuwa nayo,ila wakat naiangalia nikaiona imepoa sana,sikufika mwsho,ila jamaa angu flan hv akasema ni movie nzuri sanaNdio napita nayo sasa hivi bro naona ipo njema sana ata kati haijafika, tena nilitaka nikutag kukuuliza kama umeshaicheck
Ha ha ha ha ankooooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ankoo unanichosha na maswali yako. Ndiyo, ni matamu na yanaongeza nguvu za kiume. Usirudie kuuliza nimejibu yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hashua
Ha ha ha ha broHahaha, uje hapa TMK sokota uyaonje.
Ukionja hutaacha[emoji1787][emoji1787]
SafiiDar Chalinze itakuwa hivi..View attachment 1094641
Ha ha bro unafunga na ww??Muda wa Daku 😉
Hapana ..Ha ha bro unafunga na ww??
Ok broHapana ..
Nafanya kuwaamsha tuu .. wasije force giza asubuhi!
Hivi kwani Daku na Futari ni kwa walio funga tu Bro?Ok bro
Ni jambo zuri kama unatukumbusha[emoji120][emoji120]!!
Hapana bro,ni kwa watu wote,,nimeuliza tu nipate kujua kama na ww upo kwenye funga!!Hivi kwani Daku na Futari ni kwa walio funga tu Bro?
Nimekula futari jioni hii ..
GyendiOli otya?
Jermaine Jenas on Matthijs de Ligt:
“I actually think Harry Maguire's a better player personally. I don't really see what he (de Ligt) does that Harry Maguire can't do."
ndio maana nawachukia waingereza kwa tabia zao za kipumbavu, lakini yupo sahihi hakuna tofauti iliopo kati ya maguire na de ligt kwa sababu wote hawana tatizo la nguvu za kiume ndio maana hawakeshi nyumba za ibada ili wasaidiwe mafuta ya bwana au maji ya zam zam