KILIMANJARO : Wezi waiba vito vya thamani nyumbani kwa Mengi
si nilisikia nyumba imejaa camera za ulinzi mpaka chooni, lakini nani anajali bwana ikiwa camera za dodoma ziliondolewa baada ya tukio la bwana yule?
hahahahahaaaaaa 😀 😀 😀 😀 😀 hatari sanaaaa.Wabongo baadhi ni wezi sana.
Harusi za Marekani
Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0
Harusi za Uingereza
Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0
Tanzania sasa
Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba sijui huwa tunakwama wapi.
Suala la Man City kuchukua Ubingwa halina mjadalaLeo ndio leo aisee
Ata Barca alivyompiga Liver 3 ulisema hivi hivi ila ikawa tofauti, nauogopa sana huu mchezo kwa sasaSuala la Man City kuchukua Ubingwa halina mjadala
Habari ya wiki endi
Ni kweli lakini ni maisha ya kawaida sana kwa sisi watoto wa wakulima. tulio wengi tumepitia maisha hayohayo maji mhhhhhhh
unaweza kujikuta umebanwa na ruba makalioni
ruba - mdudu anayefanana na nyungunyungu afyonzaye damu na huishi kwenye sehemu za majimaji.
Pitia channel ya National Geographic, wana kipindi chao kimoja huwa wanaonyesha wanavyojenga madaraja na barabara zinazopita milimani na kwenye miamba mikubwaBasi wapo vizuri
Mtoto wa getini kama wewe hujawahi kupitia makuzi kama hayoKucheza kwenye mashamba ya mpunga sio?