Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MANC has “easier” game as compared to YNWA, therefore my prediction MANC will repeat but in football anything can happen to surprise fans, players, team owners and even coaches. Game of the day Liverpool VS Wolves.
Ni kweli mi pia naipa nafasi kubwa Man City kutetea taji lake ingawa chochote kinaweza kutokea
 
ni ngumu sana kujifunza lugha ya kigeni lakini ni rahisi sana kujifunza lugha ya muziki haijalishi muimbaji anatokea CHINA.
siwaelewi wale wote wanaodhihaki waimbaji wetu kwa kuimba kiswahili, si ajabu kumkuta mjinga anasema ya kwamba muziki wa Tanzania hausongi mbele kwa sababu hatuimbi kwa lugha ya kiingereza
hakuna uhusiano wowote kati ya lugha na muziki, bila ya kuwa na bidii, ubunifu, ngvu ya serikali na nguvu ya media huwezi kuielewa lugha ya muziki kama wewe ni muimbaji.
 
korean baby🇰🇷🇰🇷🇰🇷🇰🇷
japokuwa lugha yetu haieleweki lakini wazungu wamechanganyikiwa.
hakuna uhusiano wowote kati ya lugha na muziki

BTS’s “Map Of The Soul: Persona” Becomes 1st Korean Album To Spend 4 Weeks In Top 20 Of UK’s Official Albums Chart
 
korean baby🇰🇷🇰🇷🇰🇷🇰🇷
BTS’s RM Says Collaboration With Khalid Is On The Way
1095111
 
nakaribia kutimiza miaka 5 bila ya kufuatilia muziki wa marekani wala kuangalia filamu ya marekani.
korean baby 🇰🇷 🇰🇷 🇰🇷
BTS Sets New Record For Highest Album Sales In Gaon Monthly Chart History; Achieves Double Crown
On May 9, Gaon Chart announced that BTS’s “Map of the Soul: Persona” had sold 3,229,032 copies during the month of April, achieving the highest album sales ever recorded in the history of the Gaon monthly album chart.
1095118
 
Back
Top Bottom