moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Safi sanaLiverpool imetinga hatua hiyo ikiisukuma nje kibabe Barcelona, wakati Spurs nayo ilifanya hivyo hivyo kwa Ajax, huku Arsenal ikipita kirahisi mbele ya Valencia, wakati Chelsea ilihitaji ushindi wa penalti mbele ya Eintracht Frankfurt, mambo ni moto. Bato la Waingereza tupu kwenye fainali za Ulaya msimu huu.