Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

D6M5VH_X4AA357e.jpg
 
Hazard alijibu: "Iko wapi peni?".
Mashabiki wa Chelsea wameripotiwa kufurahishwa na jambo hilo, lakini walitumia kurasa zao za siku kuhoji kwanini hakupewa peni haraka asaini ili waondokane na presha ya kumpoteza staa wao.
 
Mkataba wa Hazard utafika tamati mwishoni mwa msimu wa 2020, lakini kutokana na Chelsea kutumikia adhabu ya kuzuiwa kusajili kwa kipindi cha mwaka mmoja, jambo hilo linawafanya kuweka nguvu katika kumwaachia staa huyo aondoke kwa sababu hawatakuwa na nafasi ya kusajili nyota mpya wa kuja kuziba pengo lake.
 
Back
Top Bottom