Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeona Mkuu hahahahahahahah, mie ningekuwa TISS nisingekubali haya maovu, wangenitimua kazi. Eti usalama wa Taifa! Usalama upi wa Taifa maovu chungu nzima kila kukicha. Watu wanatekwa na kuteswa left and right na wengine kuuawa hata uchunguzi hakuna.

Hahahahahaha, huwezi jua[emoji23][emoji23][emoji23].
BAK njoo uone
 
ID yake tu imenivutuia kusoma yaliyomo,,,[emoji2][emoji2][emoji2]Kolomije Oyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…