Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani contradictions kibao Mkuu. Sijui lini watakuwa wa kweli na kukubali madudu chungu nzima wayafanyayo kila kukicha.

Hizi sababu za kitoto sana!

Kila mtu anajua ujinga wa Awamu hii.

Juzi nmeona clip Yule DC wa Iringa anamuweka ndani investor! Nika shangaa!

Zipo sababu nyingi mnoo za kiutawala.

Alafu kuhusu rushwa .. serikali hii si inajiita mbabe wa kubana mianya??
 
FB_IMG_1557679554327.jpeg
 
kuna hadithi fulani ya mpemba aliwahi kumuuza mbuzi wake kwa faida kubwa, furaha yake ikampelekea apande basi la abiria haliyakuwa hana safari muhimu.
Basi kondakta akawa anamuuliza "mzee unashuka wapi kwa sababu muda wote upo garini"
mzee akajibu " wewe jua bili yako tu ninaposhuka hapakuhusu, leo nataka nilikomoe hili gari lako"

sasa sijui nani alikomolewa siku hiyo kati ya gari au bwana mbuzi na fedha zake, kwa mujibu wa hadithi inasemekana mzee alirudi nyumbani na zawadi ya halua pekee
 
Back
Top Bottom