Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ona limti hilo
FB_IMG_1557678915884.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂😂mie na ukatili mbali mbali Mkuu ila nachukia sana mambo ya uonevu kama haya yanayoendelea sasa ya watu kuonewa kupita kiasi kwa kutumia haki zao za kikatiba kama Watanzania/Wabunge.

nimewaza muda huu.
unaweza kukuta huyu BAK ni jasusi uchwara wa TISS na ndiye anayeongoza kung'oa wapinzani meno kwa mkasi
🇰🇷 🇰🇷 🇰🇷
 
Back
Top Bottom