Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nimeiona nimkereka ila uzuri humu sipendi ligiEsta asione hiyo ☝☝
Nimeiona nimkereka ila uzuri humu sipendi ligiEsta asione hiyo ☝☝
Ni shidaNi nini?
Siku hizi nakupenda umekua na Moyo wa uvumilivu sana, nahisi timu unayoshabikia imekukomaza 😀Nimeiona nimkereka ila uzuri humu sipendi ligi
Hahahha Man u wametuweza kweli msimu huu.Siku hizi nakupenda umekua na Moyo wa uvumilivu sana, nahisi timu unayoshabikia imekukomaza 😀
Mimi nilishakuambia na nitazidi kukuambia timu yako imeshawekwa MakumbushoHahahha Man u wametuweza kweli msimu huu.
Man U fans mna raha sana kwa sasa yani mpo flexible kuitania au kuishabikia timu yeyote mnayotaka
Kwenye dini ukireason tu umekufuru na utalaaniwa 😀😀wasemavyo wadau wa JF:
Religious fanaticism and political fanaticism, ni aina flani ya ukichaa ambao humfanya mtu asiwe anawaza freely kwa ku'focus na ku'reason kama mtu mwenye akili timamu.
kituko jana:Kwenye dini ukireason tu umekufuru na utalaaniwa 😀😀
Kuna haka kajitabu kama mtazamo kama wako yani kinapinga kila adhabu inayosemekana Mungu atatupa ikiwepo kuchomwa moto kwamba Mungu hawezi kua katili kiasi hivyo....kituko jana:
jana nimekwenda hospitali fulani nikapewa dawa ya macho, nimeanza kusumbuliwa na macho huenda tatizo limesababishwa na kutumia sana PC kwa muda mrefu.
na kwa ubishi wangu wa kizanzibari bado naendelea kutumia.
daktari fulani wa jinsia fulani ameniambia nisitiwe dawa nyakati za mchana kwa sababu ya funga:
yaani mchana wa kutwa nisumbuliwe na macho huku dawa ninayo nisubiri usiku.
nikaona huu ni zaidi ya ufala, sijaona uhusiano wowote kati ya dawa ya macho na kunywa kinywaji kwa njia ya mdomo..
niwe chongo kwa sababu ya funga?
hapana kabisa dini inaruhusu ukiwa mgonjwa au upo kwenye safari ndefu uachane na funga sembuse kutia dawa ya macho?
nilipofika nyumbani mzee ananiletea hadithi hizo hizo za ajabu bila ya kuniletea ushahidi wowote wa kimaandishi.
hizi dini ni nyepesi kimafudnisho lakini wafuasi tumekuwa wavivu wa kujifunza, Mungu hawezi kuwa mkatili kiasi hicho