Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye dini ukireason tu umekufuru na utalaaniwa 😀😀
kituko jana:
jana nimekwenda hospitali fulani nikapewa dawa ya macho, nimeanza kusumbuliwa na macho huenda tatizo limesababishwa na kutumia sana PC kwa muda mrefu.
na kwa ubishi wangu wa kizanzibari bado naendelea kutumia.

daktari fulani wa jinsia fulani ameniambia nisitiwe dawa nyakati za mchana kwa sababu ya funga:
yaani mchana wa kutwa nisumbuliwe na macho huku dawa ninayo nisubiri usiku.

nikaona huu ni zaidi ya ufala, sijaona uhusiano wowote kati ya dawa ya macho na kunywa kinywaji kwa njia ya mdomo..
niwe chongo kwa sababu ya funga?
hapana kabisa dini inaruhusu ukiwa mgonjwa au upo kwenye safari ndefu uachane na funga sembuse kutia dawa ya macho?

nilipofika nyumbani mzee ananiletea hadithi hizo hizo za ajabu bila ya kuniletea ushahidi wowote wa kimaandishi.
hizi dini ni nyepesi kimafudnisho lakini wafuasi tumekuwa wavivu wa kujifunza, Mungu hawezi kuwa mkatili kiasi hicho
 

sivutiwi kabisa na tabia ya mdau wowote kuanzisha thread halafu akakimbia kujibu maswali ya wachangiaji, ni zaidi ya ufala haijalishi una heshima kubwa kwenye jamii ya watanzania.
JF watu wote wapo sawa.
 
Kuna haka kajitabu kama mtazamo kama wako yani kinapinga kila adhabu inayosemekana Mungu atatupa ikiwepo kuchomwa moto kwamba Mungu hawezi kua katili kiasi hivyo....



Kiumweli kuna vitu unaweza kuhisi haviko sawa lakini ndio hivyo tumewekewa mipaka sana.

Pole kwa kuumwa Macho mkuu
 
unapokuwa umekufa huwa hujitambui kama umekufa isipokuwa walio karibu nawewe ndio wanafahamu maumivu ya msiba wako, ni sawa sawa na unapokuwa mjinga huwezi kujitambua kuwa ni mjinga haijalishi umefumbua mdomo wako mbele ya professor kabudi na wenzake walioshiriki kwenye dili la kuuza korosho kwa kampuni feki ya kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…