ππ Hili tukio nilikua nalifanya uku nakuwazaKucha ileeeee
Eti kaanza kuyafanyia kazi maneno ya Askofu Shoo ππSpika Ndugai aishangaa serikali kusitisha ujenzi Bandari Bagamoyo
Spika amesema kitendo cha serikali kuanza ujenzi wa reli ya umeme kiwango cha SGR badala ya mradi wa Bandari Bagamoyo ni sawa na kugeuza mkokoteni kuvuta Ng'ombe badala ya Ng'ombe kuvuta mkokoteni. ===== Dodoma. Kusuasua kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo...www.jamiiforums.com
For love we live and die. Love is God and God is love.
Namimi nimeona π π π .Eti kaanza kuyafanyia kazi maneno ya Askofu Shoo ππ