Ngoja tumuone kwenye CL final
Hahah! mkatalunya alipita kimya kimya kumbe katunza fileHa ha ha yatakuwa ni yale mazungumzo ya juzi hapa
😂😂 nikajua na wewe umemuotea maeneo yake ya kujidaiHapa mi natembelea nyota yako Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zikifika zimefika za mwizi
Hahah! mkatalunya alipita kimya kimya kumbe katunza file
Ha ha ha mkatarunya pia huwa anapita mara moka moja kule,sema capitalpool alishawahi niotea live ha haHahah! mkatalunya alipita kimya kimya kumbe katunza file
Achukue sawa ila asichukue na Liver sasa 😀😀Sema Mimi namkubali I wish achukue hata Major trophy na yeye amepambana sana japo pia pachettino nae amepambana
Utashangaa fate inamchukua tena anakosa ubingwa Ngoja tusubiri
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Namuonaga kule kwenye Falme yake achangamke sasa asiwe kama Lukaku Bolingoli
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Muda si mrefu na mimi ntaanza kusikiliza zile ngoma zetu za kina Sisqo
Hahah! Coder kaamua kukustiri tuHa ha ha mkatarunya pia huwa anapita mara moka moja kule,sema capitalpool alishawahi niotea live ha ha