capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Happy*π€©
Heee.. muwe mnaweka na translesheniWeebale
Dont let it destruct YouππThis message will self destruct in a few seconds π
Unafahamu ni lugha gani hii?Heee.. muwe mnaweka na translesheni
Sijui hata ! naona maluweluwe tuUnafahamu ni lugha gani hii?
Nimefika mpendwa
Nakutakia usiku mwema Mpendwa!Nimefika mpendwa
Subiri tupige story unanikimbia mimi haiwezekani uniite nimefika ghafla unanikimbia.Nakutakia usiku mwema Mpendwa!
Nilikua hapa na hujatia story! Nitarudi wakati wa Daku πSubiri tupige story unanikimbia mimi haiwezekani uniite nimefika ghafla unanikimbia.
Kile cha green kule cha tafsiri kizuri sanaKuna haka kajitabu kama mtazamo kama wako yani kinapinga kila adhabu inayosemekana Mungu atatupa ikiwepo kuchomwa moto kwamba Mungu hawezi kua katili kiasi hivyo....
View attachment 1095749
Kiumweli kuna vitu unaweza kuhisi haviko sawa lakini ndio hivyo tumewekewa mipaka sana.
Pole kwa kuumwa Macho mkuu
Mhenga nilikaa pembeni kupisha vijana mkiwa na story zenu za kisasa πππNilikua hapa na hujatia story! Nitarudi wakati wa Daku π
Aiseeyaani tunamfanya MUNGU kama ni mkuu wa kitengo cha TISS kinachoongozwa na mtumshi mkuu bwana BAK
Ha hahMhenga nilikaa pembeni kupisha vijana mkiwa na story zenu za kisasa πππ
Napinga haiwezekani ππHa hah
Ni vile hujui .. nimekula chumvi !?
Sitanii ujue,.. Wacha nipumzike kwanza.Napinga haiwezekani ππ