myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe siku njema..
safiii
Sawasawa..Fuatana nami katika makala hii nikushirikishe aina 8 za watu ambazo ni sumu unazotakiwa kuziepuka katika maisha yako
Kweli...Wenye wivu
Safari ya mafanikio ina milima na mabonde, hivyo ni vyema kuwa na watu ambao watakuinua na kukutia moyo unapopita katika changamoto. Watu wenye wivu huamini kuwa kila kitu kizuri kinatakiwa kitokee kwao tu.
Wapi hii mkuu KaoleMbuyu wenye umri mrefuView attachment 1095430
Ilikua tayari ndugu yanguDaku tayari?