Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hiyo kawaida yao ni nini?
Hiyo kawaida yao ni nini?
😀 Usijali Mungu atatenda miujizaHahah! Nakuona unanijaza tu, kwambaa jf kila mtu ana gari sio?
Nipo kwenye gari binafsi ila sio yangu me bado sijabarikiwa
Sasa hv hayupo mjini yupo chimbo hukoAaaah ...
Nikimtaka saivi nampata wapi? Sio hapo jirani na watoto wa Jngwani Bro?
Ndio mchezo wake huyu. Amebobea eeh?Hahah umetisha sana bro, hakika unawapatia wakitakacho
Tuseme Inshaalah😀 Usijali Mungu atatenda miujiza
Kwako piaMchana mwema
In Sha AllahTuseme Inshaalah
Mchana mwema Hawachi upo?Mchana mwema
Huyo mtaalamu katika hicho kitengo na kunawakati alitaka kumteka mtoto Kenya kiutani utani tu 😀😀Ndio mchezo wake huyu. Amebobea eeh?
Nipo mpenzi nasoma tu comments zenuMchana mwema Hawachi upo?
Hahahaa... si mchezo ikaishia wapi?Huyo mtaalamu katika hicho kitengo na kunawakati alitaka kumteka mtoto Kenya kiutani utani tu 😀😀
Mkenya eeh. Na yeye anataka kuwa kama DPHuyo mtaalamu katika hicho kitengo na kunawakati alitaka kumteka mtoto Kenya kiutani utani tu 😀😀
Okay Bro, sikujua ..Sasa hv hayupo mjini yupo chimbo huko
Ahsante na kwako pia.Mchana mwema
You Okay Babe?A blessing in disguise
Am fine my love.....and you?You Okay Babe?