myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 May 15, 2019 #945,651 09:20
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 May 15, 2019 #945,652 Mvua na baridi kama kawaida
Kinyonyoke JF-Expert Member Joined Oct 4, 2016 Posts 3,500 Reaction score 13,145 May 15, 2019 #945,655 Misemo ya kwenye dala dala inafurahisha sana unakuta dala dala imeandikwa 1.Kupima ukimwi sio kazi, kazi kusubiri majibu [emoji16] 2.Masikini hana likizo 3.Mganga haagizi tembele.
Misemo ya kwenye dala dala inafurahisha sana unakuta dala dala imeandikwa 1.Kupima ukimwi sio kazi, kazi kusubiri majibu [emoji16] 2.Masikini hana likizo 3.Mganga haagizi tembele.
Kinyonyoke JF-Expert Member Joined Oct 4, 2016 Posts 3,500 Reaction score 13,145 May 15, 2019 #945,657 Dekio jipya nguo ya zamani