Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wataalamu kuna ukweli hapa au matango pori
IMG-20190514-WA0018.jpeg
 
Kwani comment zako ulizoweka awali uli refer to google?
Umesema kuna tafiti..
Nani kafanya?
Hiyo 10% Imepatikanaje? At least explain something ...
Si umesema kuna wajinga ..prove it!
Hapo ulipo kama unaishi na watu zaidi ya watatu ni mmoja tu ukijiondoa mwenyewe atakujibu kama ulivyo jibu.

Anzia hapo mkuu lete mrejesho!
 
Back
Top Bottom