capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Njema sana Bro, hali ya familia niaje Mkuu?Mkuu habari za uzima
Safi Liver.. Familia inaendeleaje?Mamboz Fragaria
Hahahaha[emoji2][emoji2]View attachment 1098705
Weka evidence hapa!Hizo data niko nazo huu mwaka wa pili! Jaribu hata ku google!
Nashukuru Mwenye Enzi MkuuMzee wa Liver mambo vipi? Familia iko njema??
[emoji2][emoji2]hapo ndio mtu huwa anaanza kupitia upya tena paper ya mtihani,kituo kwa kituo[emoji16]Mwingine anaitisha graph paper halafu wewe huoni hilo swali linalohitaji graph paper
Unatania sasa .. Nimesema google zinapatikana mkuu!!Weka evidence hapa!
Mm Niko poa kabisa hila The one and only ndio hofu yangu sijamuona kitamboSalama mkuu,habari za uzima?upo poa wewe pamoja na uwapendao?
Kwani comment zako ulizoweka awali uli refer to google?Unatania sasa .. Nimesema google zinapatikana mkuu!!
Nafurahi kuskiaa Mkuu ..Nashukuru Mwenye Enzi Mkuu
Familia iko poa kabisa
Hahahah nipo mkuu unajua mm ni kiguu na njia safari haziishiNafurahi kuskiaa Mkuu ..
Tulikumiss kiasi! Pole sana Epl mlipokonywa .. nilikutafuta kila upande hukuonekana Bro!!
Wee mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wataalamu kuna ukweli hapa au matango poriView attachment 1098727
Hapo ulipo kama unaishi na watu zaidi ya watatu ni mmoja tu ukijiondoa mwenyewe atakujibu kama ulivyo jibu.Kwani comment zako ulizoweka awali uli refer to google?
Umesema kuna tafiti..
Nani kafanya?
Hiyo 10% Imepatikanaje? At least explain something ...
Si umesema kuna wajinga ..prove it!
Sawa Chief .. karibu sana.Hahahah nipo mkuu unajua mm ni kiguu na njia safari haziishi
Mkuu,ww ndio mwenyew taarifa sahihi za The One and only alipoMm Niko poa kabisa hila The one and only ndio hofu yangu sijamuona kitambo
Mhhhm...Hapo ulipo kama unaishi na watu zaidi ya watatu ni mmoja tu ukijiondoa mwenyewe atakujibu kama ulivyo jibu.
Anzia hapo mkuu lete mrejesho!
Leo mmetuamlia,,nmetoka kuona kiclip flan hv,,jamaa anauza jezi za virabu mbalimbali,,imefika muda anasema jezi ya man u nagawa bure,watu wakawa wanakimbia[emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa Man U mnisameheView attachment 1098743