capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ahsante sana CookieLala unono
Ahsante sana CookieLala unono
Njema za kwako,Mkuu niaje habari za usiku huu
Walyekum msalam ndugu...Asalaam Aleykum Hawachi..
Mi mzima sijui weye
Safiiii.. ntapika kesho
Hahaha!! Mie pia nimefahamu leoNimejua Sasa hivi
Nilikuwaga nawaza hivi Ni kwanini wamekiita kibao cha mbuzi, nilidhani wanakifananisha na mbuziHahaha!! Mie pia nimefahamu leo
Ana sifa za kijinga[emoji2][emoji2]View attachment 1098705
Namlaumu aliyekuonjesha futari[emoji23][emoji23]Usile ugali kipindi hiki Cha Mwezi mtukufu tafadhali .. Kula futari!!
Nilipotea wapi? Kwani ulinitafuta??
Waislam wanafaidi sana! Silali nasubiri Daku hapa 😬 😬Namlaumu aliyekuonkesha futari[emoji23][emoji23]
Hahaha!!Nilikuwaga nawaza hivi Ni kwanini wamekiita kibao cha mbuzi, nilidhani wanakifananisha na mbuzi
Tunashukuru 🙏Walyekum msalam ndugu...
Niko salama best
Ha ha ha sana aisee,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana sifa za kijinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namlaumu aliyekuonjesha futari[emoji23][emoji23]
Hii clip nmecheka sana baada ya kuiona
Huyu jamaa mtata sana aiseeHii clip nmecheka sana baada ya kuiona