Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Hahaha Dah!Putin wa Urusi au Put in Put in? 😜😜😜
Hahaha Dah!Putin wa Urusi au Put in Put in? 😜😜😜
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Utoto mwingi sana. Picha ya kwenye avatar ndo yakumfanya asimamishe kifilifili kweli ?
Ha ha ha hatari sana,matokei yake ndio haya sasaHahah! Anasisitiza watoto wa wahindi ndio wasome kwabidii
Mwakaleli kwa hali hii ya mchana wa saa sita parachichi linatutumka kweli kweli... Usiombe ukatamani kulimung'unya... Haya Ankoo, yapo,karibuMaparachichi ya mwakaleli yapo Ankoo?
Humu? wari wenyewe wako wapi?
Wazima wote, tumshukuru Mungu[emoji120][emoji120]Ndio ankooo,mfungo unaenda vyema kabsa,,aunt na ndugu zangu wengine hawajambo huko?
Numbisa am your husband in law ujue tulia
Nenda kamwambie jinsi nnavyompendaKamwambie
Nasib
Ndo maana sugu fasta kapata ka mwakishawn kakeMwakaleli kwa hali hii ya mchana wa saa sita parachichi linatutumka kweli kweli... Usiombe ukatamani kulimung'unya... Haya Ankoo, yapo,karibu View attachment 1099749
🤣🤣🤣🤣 Shu shu shuuuu.. ufanyie kazi eneji hiyo Ankoo..Kazi ya aanti yako hiyo, ananilisha vitu vitamu vitamu tena kwa wakati... Nikisha kuvila mwili wote shuu shuu shuuuu...