Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.
U need to be respectful hawachi never shall I disclose our touch inbox openly so should you!?
Plz this should never again be repeated!!
 
Alishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.
Jibu la mjinga ni kukaa kimya,unavyomjibu unampa credit ndugu yangu!!
Jf ni kama kokolo,limebeba kila aina ya watu na tabia zao mbalimbali,za maudhu,kukela,za kupendeza na hayo yote lazima yawepo ili maisha yaendelee!!

Hivyo bhasi ukishamsoma mtu kama huyo hapo,achana nae,anajitoa ufahamu tu!!
 
IMG_20190516_225059.jpeg
 
Trash//crap//drag to a sheethole
 
Jibu la mjinga ni kukaa kimya,unavyomjibu unampa credit ndugu yangu!!
Jf ni kama kokolo,limebeba kila aina ya watu na tabia zao mbalimbali,za maudhu,kukela,za kupendeza na hayo yote lazima yawepo ili maisha yaendelee!!

Hivyo bhasi ukishamsoma mtu kama huyo hapo,achana nae,anajitoa ufahamu tu!!
Umeongea.. ungekuwa karibu ningekupa hi five
 
Back
Top Bottom