U need to be respectful hawachi never shall I disclose our touch inbox openly so should you!?Alishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.
Mmh!😁 Moudy bwana.. Mimi kama kinyago cha Mpapure
Jibu la mjinga ni kukaa kimya,unavyomjibu unampa credit ndugu yangu!!Alishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.
Yes..Mmh!
Trash//crap//drag to a sheetholeJibu la mjinga ni kukaa kimya,unavyomjibu unampa credit ndugu yangu!!
Jf ni kama kokolo,limebeba kila aina ya watu na tabia zao mbalimbali,za maudhu,kukela,za kupendeza na hayo yote lazima yawepo ili maisha yaendelee!!
Hivyo bhasi ukishamsoma mtu kama huyo hapo,achana nae,anajitoa ufahamu tu!!
HaiwezekaniYes..
Kwanini?Haiwezekani
Umeongea.. ungekuwa karibu ningekupa hi fiveJibu la mjinga ni kukaa kimya,unavyomjibu unampa credit ndugu yangu!!
Jf ni kama kokolo,limebeba kila aina ya watu na tabia zao mbalimbali,za maudhu,kukela,za kupendeza na hayo yote lazima yawepo ili maisha yaendelee!!
Hivyo bhasi ukishamsoma mtu kama huyo hapo,achana nae,anajitoa ufahamu tu!!
Sijui kwanini ila nafsi yangu inagoma tu 😀Kwanini?