[emoji2][emoji2][emoji2] BroHebu nifundishe mzee, wanawekewaje[emoji3][emoji3][emoji3]
Usiku mnono..
Ha hah
Ila huyo dogo kapata bahati Mno! Nilianza kupenda Prianka enzi za Quantico!
She is strong and Beautiful, charm!!
PoleAlishawahi kuniazishia uzi,nashangaa analeta uwongo wake hapa hii avatar yangu ambayo toka niweke ina miezi 2 anacho nikera kila jukwaa akiona comment yangu linaandika njoo inbox huyu kaka vipi hajui kuheshimu watu nilishamwambia simtaki.
Siyo kweli, wewe ni mrembo hasa[emoji41][emoji41][emoji16] Moudy bwana.. Mimi kama kinyago cha Mpapure
How long is long?I know, dont take to long thou.
Kwenye mitaa yenu Bro,wewe na ankoo[emoji2][emoji2]Hahahaha, Wapi huko bro[emoji1787][emoji1787]
Mmh!Hebu nifundishe mzee, wanawekewaje😀😀😀
Umenionea wapi?Siyo kweli, wewe ni mrembo hasa[emoji41][emoji41]
hahahahahahah, nimechukua notes.[emoji2][emoji2][emoji2] Bro
Sikumbuki vizuri wapi tulianzia,ila ilikuwa juu ya binti kuja gheto kwako halafu anakaa mbali na ww,,mfano mpo seburuni mnacheki movie/tv show yoyote,,bhasi utakuta bidada wa watu amekaa kwenye kiti kingine tena pemben kabsa,halafu mpo wawili tu
Kwa situesheni kama hyo,kula mzigo ni ishu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Bhasi mimi nikasemaje,style yangu ipo tofauti kidogo,ikitokea hali kama hyo,na bidada wa watu kajivunga kukaa pembeni,bhasi sijipi tabu,natafuta movie/tv show yoyote hasa zile za horror(za kutisha) kama Wrong Turn,The Nun,The Conjuring,The Walking Dead,,halafu naweka tunaanza kutizama wote
Hadi movie kufika katikati,unajikuta bidada ameshamove mwenyewe hadi ulipo bila hata kumwambia kwa ajiri ya kuogopa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hope umepata Bro[emoji2][emoji2]View attachment 1099867
Ehee, elimu haina mwisho sis.Mmh!
Ha ha ha sawa Bro!hahahahahahah, nimechukua notes.
Siku nikiihitaji hiyo mbinu hapa ndani nitaiapply.Subiria mrejesho 😀 😀
Sawa BroEhee, elimu haina mwisho sis.
😁Nakuona unaelimisha!![emoji2][emoji2][emoji2] Bro
Sikumbuki vizuri wapi tulianzia,ila ilikuwa juu ya binti kuja gheto kwako halafu anakaa mbali na ww,,mfano mpo seburuni mnacheki movie/tv show yoyote,,bhasi utakuta bidada wa watu amekaa kwenye kiti kingine tena pemben kabsa,halafu mpo wawili tu
Kwa situesheni kama hyo,kula mzigo ni ishu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Bhasi mimi nikasemaje,style yangu ipo tofauti kidogo,ikitokea hali kama hyo,na bidada wa watu kajivunga kukaa pembeni,bhasi sijipi tabu,natafuta movie/tv show yoyote hasa zile za horror(za kutisha) kama Wrong Turn,The Nun,The Conjuring,The Walking Dead,,halafu naweka tunaanza kutizama wote
Hadi movie kufika katikati,unajikuta bidada ameshamove mwenyewe hadi ulipo bila hata kumwambia kwa ajiri ya kuogopa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hope umepata Bro[emoji2][emoji2]View attachment 1099867
Hivi sleeping tightly maana yake nini?Good night sleep tight and sweet dreams Mkuu. 🙏🏽