Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu nifundishe mzee, wanawekewaje[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2] Bro

Sikumbuki vizuri wapi tulianzia,ila ilikuwa juu ya binti kuja gheto kwako halafu anakaa mbali na ww,,mfano mpo seburuni mnacheki movie/tv show yoyote,,bhasi utakuta bidada wa watu amekaa kwenye kiti kingine tena pemben kabsa,halafu mpo wawili tu

Kwa situesheni kama hyo,kula mzigo ni ishu sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Bhasi mimi nikasemaje,style yangu ipo tofauti kidogo,ikitokea hali kama hyo,na bidada wa watu kajivunga kukaa pembeni,bhasi sijipi tabu,natafuta movie/tv show yoyote hasa zile za horror(za kutisha) kama Wrong Turn,The Nun,The Conjuring,The Walking Dead,,halafu naweka tunaanza kutizama wote

Hadi movie kufika katikati,unajikuta bidada ameshamove mwenyewe hadi ulipo bila hata kumwambia kwa ajiri ya kuogopa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Hope umepata Bro[emoji2][emoji2]
 
hahahahahahah, nimechukua notes.
Siku nikiihitaji hiyo mbinu hapa ndani nitaiapply.Subiria mrejesho πŸ˜€ πŸ˜€
 
😁Nakuona unaelimisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…