"Issue sio kuhakikisha upinzani wanachukuwa mamlaka ya kuendesha Serikali maana dola ni ya wananchi na si ya CCM. Madhumuni ni kuhakikisha kila kura ya Mtanzania inaheshimiwa na haidharauliwi na ma-DED wa CCM. Simple really.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.