Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeusoma ni kweli kabisa. Asante najua nitapoa ila itachukua muda
Yeah, bahati mbaya sana ndivyo maisha yalivyo.Kuna mambo yanayotokea na kutuumiza na wakati mwingine inakua hivyo kwa faida yetu.La msingi ni kujifunza vitu/mambo kupitia mapito ya namna hiyo.Utapona na kuwa thabiti zaidi.

Davet ni mtu mzuri, utakua kwenye mikono salama.
 
Umeanza vizuri ila mwishoni sijaelewa
 
Back
Top Bottom