Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Nikifunguka nitaanza kulia bure hapaFunguka bana.
Hahah!Watu wana vituko sana 😀 😀 😀 😀
Davet lete lessoNikifunguka nitaanza kulia bure hapa
Leso haitoshi labda tauloDavet lete lesso
Pole sana.Nikifunguka nitaanza kulia bure hapa
😂😂😂😂😂😂😂
#UsisahauJogooWawiliHawaweziKusaidianaKuokotaMdudu
Anataka taulo ngoja nileteDavet lete lesso
Nimeusoma ni kweli kabisa. Asante najua nitapoa ila itachukua mudaPole sana.
Kuna uzi nimeuona leo jamaa anasema kama hujawahi kutendwa usimcheke aliyetendwa, inauma sana.I can only imagine the pain.
Jamaa humu ndani wanajiliza sana na mapenzi kama wanawakePole sana.
Kuna uzi nimeuona leo jamaa anasema kama hujawahi kutendwa usimcheke aliyetendwa, inauma sana.I can only imagine the pain.
Anataka taulo ngoja nilete
Hahah ngoja nizipitiaSoma comments sasa 😀 😀 😀
Yeah, bahati mbaya sana ndivyo maisha yalivyo.Kuna mambo yanayotokea na kutuumiza na wakati mwingine inakua hivyo kwa faida yetu.La msingi ni kujifunza vitu/mambo kupitia mapito ya namna hiyo.Utapona na kuwa thabiti zaidi.Nimeusoma ni kweli kabisa. Asante najua nitapoa ila itachukua muda
Jana mzee mwenzetu ningendako alisema jambo la msingi sana.Humu tupo wa kila namna.Jamaa humu ndani wanajiliza sana na mapenzi kama wanawake
Umeanza vizuri ila mwishoni sijaelewaYeah, bahati mbaya sana ndivyo maisha yalivyo.Kuna mambo yanayotokea na kutuumiza na wakati mwingine inakua hivyo kwa faida yetu.La msingi ni kujifunza vitu/mambo kupitia mapito ya namna hiyo.Utapona na kuwa thabiti zaidi.
Davet ni mtu mzuri, utakua kwenye mikono salama.