Nilimaanisha nilichosema, hapo kwenye sentensi ya mwisho niliweka kejeli tuu.Umeanza vizuri ila mwishoni sijaelewa
Nikweli bro kwenye wengi kuna mengiJana mzee mwenzetu ningendako alisema jambo la msingi sana.Humu tupo wa kila namna.
Hapo sawa broNilimaanisha nilichosema, hapo kwenye sentensi ya mwisho niliweka kejeli tuu.
Wanamuogopa sana Membe sio?
TehJinga kabisa
Haki sawa mkuuHichi ni kipigo au mkorogo?
Anajua kushika huyoHahahaha, jamaa muharibifu sana.
Huyu jamaa akishika embe,papai au parachichi lazima lioze[emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh kumbeHaki sawa mkuu