Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu jamaa kuna wakati aliitwa fisadi papa na pia alikuwa moja kati ya magamba matatu yaliyosumbua CCM, alikitia doa kubwa chama hicho.
Alisemwa vibaya kila upande mapaka akajiuzulu ubunge na ujumbe wa NEC ya CCM, lakini naona sasa amekuwa asali, sukari, nk. Kiasi sasa taratibu anarudia cheo chake cha "King maker"
Siasa za nchi hii ni ngumu sana kuzielewa
 
Inaelekea Mkuu maana support yake ndani ya ccm kuelekea 2020 inazidi kuongezeka baada ya nduli kushindwa vibaya sana kuongoza nchi. Wakiamua kuyaweka mapambano hadharani basi si ccm tu kutawaka moto bali nchi itawaka moto.
Hawa jamaa ni bora waumizane ndani kwa ndani huko chamani kwao.
Na navyojua CCM haina kifungu cha Katiba kinachomzuia mwanachama mwingine kuomba ridhaa ya kugombea.
Sisi yetu macho[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Asee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…