Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1558117030209.jpeg
 
Duuu mkuu umefukua kaburi la marehemu kipenzi chetu, RIP Regia.
 
Akiamua kupambana hadharani, nchi itawaka moto. Menyewe kwa menyewe utakuwa mpambano ambao Watanzania hatujawahi kuuona na wengi kutokana na hali ya nchi yetu hivi sasa ikiwa ni ya kusikitisha na kushangaza sana tunaomba sana na kutaka mpambano huo utokee.
Kabisa, mpambano wa aina hiyo unaweza kukichana chana kabisa chama cha kijani
 
Back
Top Bottom