Hahahaha, haya jiraniNitakurejeshea baada ya funga jirani. [emoji1][emoji1]
Ila wajue hayupo peke yake, wasije wakakipasua vipande vipande chama chao.Watamvua uanachama sasa
Ulitoswa wapi na nani aliyekutosa mkuu?Nashukuru mkuu, baada ya kutoswa narejea humu rasmi[emoji16][emoji16][emoji16]
Ajira mkuu, nipo nahangaika tu now!Ulitoswa wapi na nani aliyekutosa mkuu?
Duh, pole kiongozi.Ajira mkuu, nipo nahangaika tu now!
AhsanteDuh, pole kiongozi.
Pambana
You can not be sure.You can't?