Asiyefuzwa na mamaye hufuzwa na ulimwengu.Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu.
Ndiye rafikiAkufaae kwa dhiki.........
Mlipe wemaAkufanyiaye ubaya........
Akutendaye mtende, mche asiyekutenda.Asiyefuzwa na mamaye hufuzwa na ulimwengu.
Ana zakeAkili ni nywele kila mtu.....?
Heee hii sijawahi kusikia mkuu πAkupaye kisogo ......
LimemuangazaAlisifuye jua.....
Sio mwenzio πHeee hii sijawahi kusikia mkuu π
Nywele hapa wahenga walitakiwa kusema nywele za wapiππAkili ni....?
ShukranSio mwenzio π