Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah itakua za kichwani tu 😂😂😂😂Nywele hapa wahenga walitakiwa kusema nywele za wapi😀😀
Hahah itakua za kichwani tu 😂😂😂😂Nywele hapa wahenga walitakiwa kusema nywele za wapi😀😀
Mng'oje chini ila kwa Mimi namfata huko huko juu😀Aliye juu......
Maisha ya sasa inabidi umfate tu huko hukoMng'oje chini ila kwa Mimi namfata huko huko juu😀
Hahaha hivi prof. Lipumba ana nywele kichwani jumlisha na BashiteHahah itakua za kichwani tu 😂😂😂😂
Yes hizi methali zibadilishwe 😀😀😀Maisha ya sasa inabidi umfate tu huko huko
Alikuanazo zamani lakini siku hizi hana ndio maana akili zimempunguaHahaha hivi prof. Lipumba ana nywele kichwani julisha na Bashite
HahahaAlikuanazo zamani lakini siku hizi hana ndio maana akili zimempungua
Nyingine upi inayotakiwa kubadilishwa?Yes hizi methali zibadilishwe 😀😀😀
AkutuweAliye kutwika.......
HakikaAkutuwe
Hiyo aliye kuwa juu zipo nyingi zibadilishwe kulingana na wakatiNyingine upi inayotakiwa kubadilishwa?
Hakwambii toka.Akufukuzae........
😜😜Aliyekupa mkeka.........
Vipi hii ya pole pole ndio mwendo?Hiyo aliye kuwa juu zipo nyingi zibadilishwe kulingana na wakati