Hahah itakua za kichwani tu ππππNywele hapa wahenga walitakiwa kusema nywele za wapiππ
Mng'oje chini ila kwa Mimi namfata huko huko juuπAliye juu......
Maisha ya sasa inabidi umfate tu huko hukoMng'oje chini ila kwa Mimi namfata huko huko juuπ
Hahaha hivi prof. Lipumba ana nywele kichwani jumlisha na BashiteHahah itakua za kichwani tu ππππ
Yes hizi methali zibadilishwe πππMaisha ya sasa inabidi umfate tu huko huko
Alikuanazo zamani lakini siku hizi hana ndio maana akili zimempunguaHahaha hivi prof. Lipumba ana nywele kichwani julisha na Bashite
HahahaAlikuanazo zamani lakini siku hizi hana ndio maana akili zimempungua
Nyingine upi inayotakiwa kubadilishwa?Yes hizi methali zibadilishwe πππ
AkutuweAliye kutwika.......
HakikaAkutuwe
Hiyo aliye kuwa juu zipo nyingi zibadilishwe kulingana na wakatiNyingine upi inayotakiwa kubadilishwa?
Hakwambii toka.Akufukuzae........
ππAliyekupa mkeka.........
Vipi hii ya pole pole ndio mwendo?Hiyo aliye kuwa juu zipo nyingi zibadilishwe kulingana na wakati