BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Sasa hivi ni chama cha wahuni wa kila aina Mkuu wakiwemo waongo, majizi, wazinzi, mafisadi, wapokea na watoa rushwa, watekaji, watesaji na hata WAUAJI. Chama kimepoteza mwelekeo kwa miaka mingi sasa kwa kuwaruhusu wasio na sifa wala uwezo eti kukiongoza chama hicho.
Chama Cha Mapinduzi ni chama cha kumkomboa mfanyakazi na mkulima[emoji849][emoji849] walianza na wafanyabiashara lakini hela hazikutosha, sasa tunaenda na wakulima.
Maajabu yanaendelea[emoji849][emoji849]
