Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Aisee.. matofali yamejipanga!
Aisee.. matofali yamejipanga!
Unataka uchukue vipimo ukamshonee?So inakukaa vizuri nguo kama hiii eeh?
I wont even dare Fraggy, Feel me?Nimeipenda tu message nimetupia humu! 😀
Natamani niwe fundi nichukue vipimo😬😬Unataka uchukue vipimo ukamshonee?
Akijibu ni tag dear na sikukuu hii 😋😋😋Unataka uchukue vipimo ukamshonee?
Hamna shaka ushapata nguo ya sikukuu! Atakuja kukupima!Akijibu ni tag dear na sikukuu hii 😋😋😋
Aaaah Buana! Subiri tumalize mfungo.. Hii siku ya 13 eeh?
Aibu nimeona mimi best nilijua atanambia kitambaa kinauzwa shilingi ngapi?
Oooh I feel you alright!! 🙂I wont even dare Fraggy, Feel me?
Aaaah Buana! Subiri tumalize mfungo.. Hii siku ya 13 eeh?
Hiyo ya kunipima hapo itakuwa mtihani kwa kweli 😀😀Hamna shaka ushapata nguo ya sikukuu! Atakuja kukupima!
😀😀😀 hahahaa..Aibu nimeona mimi best nilijua atanambia kitambaa kinauzwa shilingi ngapi?
Nice!!16 or 17 days to go depending on moon sighting.
😀 Unahesabu?Aaaah Buana! Subiri tumalize mfungo.. Hii siku ya 13 eeh?
So unashonaje nguo bila vipmo??Hiyo ya kunipima hapo itakuwa mtihani kwa kweli 😀😀