capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Muhimu kuhesabuπ Unahesabu?
Mimi huwa sipimi huwa naenda kwa fundi na gauni ambalo najua ndio kipimo changu.So unashonaje nguo bila vipmo??
Wew mtata sana!! π πMimi huwa sipimi huwa naenda kwa fundi na gauni ambalo najua ndio kipimo changu.
Kwani una avoid nini hapo?Mimi huwa sipimi huwa naenda kwa fundi na gauni ambalo najua ndio kipimo changu.
πππSio mtata mafundi wengine wanatafuta sababu.Wew mtata sana!! π π
Mimi huwa sipimi huwa naenda kwa fundi na gauni ambalo najua ndio kipimo changu.
Sababu ya nini?πππSio mtata mafundi wengine wanatafuta sababu.
Hili swali nitalijibu mwenzi huu ukiisha mpendwa sorrySababu ya nini?
Ha hahHili swali nitalijibu mwenzi huu ukiisha mpendwa sorry
ππππAisee unawezaje kuniuliza swali gumu hivi,vipimo vipo naeleza fundi azidishe ama apunguzeIkiwa umekonda kidogo au umeongezeka kidogo nguo hiyo si inaweza kuwa si kipimo kizuri?
Hata hivyo ni hatari kuwa hivyo hapo lazima uoze.